Tamko la Maaskofu Katoliki Juu ya Kura ya Maoni

BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA BARUA YA KICHUNGAJI “Nanyi kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu” (Lk. 21: 19) Sisi Maaskofu wenu tulikutana kusali na kutafakari pamoja huko Arusha tarehe 16 – 17 Februari 2015. Moja ya mambo tuliyoyazingatia ni suala lililo mbele yetu, la kupigia Kura ya Maoni Katiba Inayopendekezwa.   Tunazidi kuendelea kukumbusha kwamba Katiba ni chombo kitakatifu, kinacholenga …