TCRA na Semina ya Kuzitambua Simu Feki Zanzibar…!

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Innocent Mungy, akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar kuhusiana na kutambua Simu Feki na kudhibiti uingiaji wa Simu hizo Tanzania na kueleza mwisho wa matumizi wa simu hizo Nchini Tanzania ni Juni 2016. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilima Zanzibar na kuwashirikisha waandishi wa Vyombo mbali …

TCRA-CCC Yatoa Somo kwa Wadau Wake Mkoani Mbeya

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akifungua semina ya kuwaelimisha na kuwahamasisha watumiaji wa Huduma za Mawasiliano  iliyoandaliwa na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA-CCC) katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya Desemba 15 -2015 ).   Wananchi na baadhi ya watumishi wa serikali na mashirika binafsi wakisikiliza kwa Makini Hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu …

TCRA na Ufafanuzi wa Matangazo ya Moja kwa Moja…!

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015 KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tangazo lake lililotolewa kwenye vyombo vya habari tarehe 11 Septemba, 2015 kuhusu vipindi vinavyorushwa moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu. Ufafanuzi huu unatolewa …

TCRA Yakionya Kituo cha ITV Kukiuka Kanuni za Utangazaji

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KAMATI YA MAUDHUI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA DAR ES SALAAM SHAURI LA UKIUKAJI WA KANUNI ZA UTANGAZAJI NAMBA 4/2015 DHIDI YA INDEPENDENT TELEVISION (ITV) UAMUZI UAMUZI WA KAMATI YA MAUDHUI KUHUSU LALAMIKO LA UKIUKAJI WA KANUNI ZA UTANGAZAJI, MWAKA 2005 1.0 Utangulizi: Mnamo tarehe …

TCRA Yaipa Kibali Jembe FM Kurusha Matangazo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi leseni kwa redio ya Jembe FM ya jijini Mwanza kwenye ofisi za makao makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma ametaka matumizi sahihi ya masafa ya radio yanayatumiwa kurusha …