TBS Yateketeza Bidhaa Hafifu Zenye Thamani ya Mil. 20

    Na Charity James SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeteketeza bidhaa hafifu na zilizokwisha muda wake zenye thamani ya sh. milioni 20 kutoka nchini Marekani na China. Akizungumza wakati wa uteketezaji wa bidhaa hizo,Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa TBS, Roida Andusamile alizitaja bidhaa hizo kuwa ni dawa za meno, pampas, sabuni za kuogea na wipes. Alisema miongoni …

JK Ampa ‘Shavu’ Joseph Masikitiko TBS, Amwamisha Masilingi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemteua Joseph B. Masikitiko kuwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Kabla ya uteuzi huo Masikitiko alikuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo (TBS). Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi wa Balozi mmoja na kuwabadilishia vituo vya kazi Mabalozi wawili kama ambapo amemteuwa Lt. Gen. Charles L. Makakala kuwa Balozi …

TBS Kuajiri Watumishi 200 Kuimarisha Utendaji

Frank Mvungi-Maelezo SHIRIKA la Viwango Nchini Tanzania (TBS) linatarajia kuajiri jumla ya watumishi 200 katika harakati za kuimarisha utendaji wa shirika hilo. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa udhibiti ubora wa shirika hilo Bi. Mary Meela wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Akifafanua Meela amesema watumishi watakaoajiriwa watasaidia kuimarisha utendaji kazi wa shirika hilo …