Maadhimisho ya Siku ya Familia kwa Wafanyakazi wa TBL Arusha…!

  Wanafamilia wakicheza mchezo kwa kukimbia wakiwa wamewabeba wenza wao ikiwa ni sehemu ya Familia ya wafanyakazi wa kiwanda cha Bia(TBL) mkoa wa Arusha.   Watoto wakichorwa michoro mbalimbali na mtaalamu wa (Face Paintings) ikiwa ni sehemu ya kuwafanya wafurahie siku ya leo   Watoto wa kiume wakitimua mbio mita 100 .   Hawa pia waliona wasiachwe nyuma   Mchezo …

TTCL Yaiunganisha TBL Katika Mkongo wa Mawasiliano

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imekabidhi mradi wa kuiunganisha matawi 12 ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika huduma za mawasiliano ya sauti, intaneti pamoja na data ili kuviwezesha vituo hivyo kufanya kazi katika mfumo wa kisasa kimawasiliano jambo ambalo litaboresha utendaji kazi wa kampuni hiyo. Akikabidhi mradi huo leo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mkuu wa …

TBL Wasaidia Vifaa vya Afya Kijiji cha Kambi ya Simba Karatu

Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi karibu, ambapo Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 22. Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia …