Chama cha Majaji Wanawake Chafanya Mkutano Mkuu

 Jaji Fredrick Wambali akitoa mada katika mkutano huo.  Wanachama wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), wakiwa kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Dar es Salaam jana. Mkutano huo ulihudhuriwa na wanachama kutoka mikoa yote. Dotto Mwaibale   JAJI Mkuu Mohamed Chande, amewataka wanawake nchini kutoa taarifa katika ngazi husika pindi  wanapoombwa rushwa ya ngono ili sheria ifuate mkondo wake.   …

RC Dodoma Chiku Galawa Afungua Mkutano wa TAWJA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na Rashwa mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji wa chini iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA). Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake Tanzania Jaji Engera Kileo akizungumza katika semina hiyo. Shekh Husen Kuzungu akifafanua jambo …