Watu 39 Mataifa Anuai Wapanda Mlima Kilimanjaro Kuchangia Taulo za Hedhi

Timu ya watu 39 wakiwasili katika lango la Marangu tayari kuanza kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia kununua taulo maalumu kwa wasichana waliopo shuleni zisaidie wakati wanapokuwa kwenye siku zao za Hedhi. Katika timu hiyo wamo wakurugenzi wa taasisi mbalimbali za nchini Afrika Kusini ,watu maarufu ,watangazaji katika vituo vya Luninga,wachezaji filamu n.k. katikati hapo ni …