CCM Kumaliza Tatizo la Maji Longido na Namanga

Na Joachim Mushi, Longido MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu amesema endapo cham hicho kitafanikiwa kuingia madarakani watamaliza shida ya maji katika Jimbo la Longido na Hanang. Samia ametoa ahadi hiyo leo mjini Longido alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara akiinadi ilani ya CCM katika uchaguzi mkuu utakao fanyika Oktoba 2015. Alisema katika ilani ya CCM imepanga kutumia …