Tanzania Yatoa Ripoti ya Tathimini ya Umasikini

Na Scola Milinga, Wizara ya Fedha TANZANIA imetoa Ripoti ya Tathimini ya Umasikini kwa upande wa Tanzania bara kwa mwaka 2015, ambayo ni haua muhimu kwa Serikali, wadau wa maendeleo na asasi za kiraia nchini. Hayo yalisema Waziri wa Fedha Saada Mkuya jana alipokuwa akizindua ripoti hiyo jijini Dar es salaam. Akitoa shukrani zake kwa niaba ya Serikali kwa Benki …