TASWA Wamuaga Rais Kikwete, Azoa Tuzo Kibao za Michezo

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), Juma Pinto (wa pili kulia) akimkabidhi Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete tuzo maalumu ya kutoa mchango mkubwa katika kukuza michezo mbalimbali ndani ya uongozi wake akiwa rais. Kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (wa kwanza …

IPTL Yaisaidia TASWA Milioni 20 Maandalizi ya Tuzo

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert …