Wanaume wa Tarime Wakataa Ukeketaji

Na Deogratius Temba WANAUME kutoka katika Kata ya Nyamaraga Kijiji cha Ng’ereng’ere Wilaya ya Tarime mkoani Mara wamewataka wanaume wote kukataa kuoa wasichana waliokeketwa ili kukomesha kabisa mila hizo potofu. Akizungumza katika Tamasha la Jinsia ngazi ya wilaya lililofanyika katika kata hiyo nje kidogo ya mjini wa Tarime linaloongozwa na TGNP Mtandao, Mchungaji wa Kanisa la PEFA, Getagasembe, Roberty Machera amesema …