Na Mpalule Shaaban KAMPUNI ya Twiga Cement ya jijini Dar es Salaam, jana imefanikiwa kuzindua rasmi Chama cha Wachezaji wa Nafasi ya Golikipa wanaoshiriki ligi kuu ya Tanzania, ambapo katika uzinduzi huo timu hiyo ya Makipa ilicheza mchezo wa Kirafiki dhidi ya Timu ya Kombaini ya Waandishi wa Habari TASWA F.C. uliofanyika kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama jijini Dar es …
Rais Zuma Ateta na JK Ikulu, Dk Bilal Amsindikiza
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya Desemba 22, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma. Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam, yalichukua kiasi cha saa moja na dakika 45 na yalihusu uhusiano kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Rais Zuma ambaye aliwasili nchini usiku wa Desemba 21, 2014, …
Hospitali ya Apollo Yatenganisha Mapacha Walioungana Kutoka Tanzania
WATANZANIA wameendelea kufaidika kwa huduma bora za afya kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyokonchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumbo ni kutoka nchini Tanzania katika upasuaji uliofanyika Novemba 17 Novemba 2014 nchini India. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na …
Bodi ya Utalii Yaendelea Kuitangaza Tanzania Kupitia Michezo
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kalaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya ligi kuu ya Uongereza ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo ya Utalii wa Tanzania yanayotangazwa katika uwanja wa timu hiyo kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bw. Geofrey …
Dk Bilal Aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Wakuu EAC
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal jana Novemba 29, 2014 aliiwakilisha Tanzania katika mkutano wa siku moja wa Wakuu wa Nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Nairobi, Kenya. Mkutano huo, kwa mujibu wa utaratibu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unafanyika kila baada ya miaka miwili na lengo lake kuu ni kufanya tathmini …