State Owned TTCL Inks 328bn Tsh deal With Huawei

THE State owned Tanzania Telecomunications Limited TTCL, yesterday inked a 328bn or $182m deal with Huwei technologies aimed at helping the national telcom build its landline and mobile ICT networks. Speaking at the signing in Dar es salaam yesterday, the TTCL Chief Executive Oficer Dr Kamugisha Kazaura said the first part of the project will complete by June this year. …

Timu Sita za Wanawake Zafuzu Robo Fainali

TIMU za mikoa sita tayari imepata tiketi za kucheza robo fainali ya michuano ya Kombe la Taifa la Wanawake itakayoanza Januari 26 mwaka huu jijini Dar es Salaam wakati nyingine mbili zinajulikana leo (Januari 23 mwaka huu).   Mikoa ambayo timu zake tayari zina tiketi za robo fainali ya michuano hiyo inayodhaminiwa na kampuni ya Proin ni Ilala, Kigoma, Mwanza, …

Kenya Yaruhusu Magari ya Watalii Tanzania Kuingia Jomo Kenyatta

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema Serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi. Awali, Serikali ya Kenya iliyazuia magari hayo kuingia uwanjani hapo huku ukiyatoza ushuru kwa yale yanayoingia, jambo ambalo lililalamikiwa na wafanyabiashara wa Tanzania. Zuio hilo la Kenya kwa magari ya …

Rais Kikwete Atoboa Siri Shutuma za DRC Dhidi ya Tanzania

TANZANIA imesema kuwa ni jambo la kusadikika na kufikirika tu kwa baadhi ya watu kudai kuwa haiko tayari kukabiliana na vikundi vya uasi na ugaidi (negative forces) vilivyobakia vikivuruga amani na kusababisha ukosefu wa utulivu ndani ya nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Badala yake, Tanzania inaendelea kuwa tayari kukabiliana na vikundi hivyo, kwa mujibu wa mamlaka …