HATIMAYE marais Uhuru Kenyetta wa Kenya na Jakaya Kikwete wa Tanzania wamekubaliana kufutilia mbali maagizo ya Mamlaka ya anga nchini Tanzania kupunguza idadi ya ndege za Kenya zinazotua nchini Tanzania na agizo la Wizara ya maliasili ya Kenya kupiga marufuku magari ya Tanzania kuingia katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta. Katika makubaliano hayo ndege za Kenya Airways sasa zitafanya …
Five Expert Tips to Sell Your Home Fast
*Real estate agents share their top advice for a quick sale THE real estate industry in Tanzania is one of the country’s fastest growing industries. This means that although the demand is high, the competition is also just as fierce. In order to be able sell a home fast in this competitive market, Lamudi Tanzania shares five tips for industry …
Soko la Rangi Kushuhudia Mabadiliko Kutokana na Maendeleo ya Miundombinu Nchini
KUTOKANA na mpango mkakati wa serikali wa mwaka 2012 mpaka 2017 ambao unalenga upanuzi wa makazi katika mikoa mbalimbali, kumekuwa na ongezeko kubwa la majengo ya makazi, majengo ya ofisi na majengo ya masoko ambayo yameonekana kuwa na manufaa na mchango mkubwa katika sekta mbalimbali na viwanda nchini Tanzania. Mpango huu wa upanuzi umejenga mahitaji kwa vifaa vya ujenzi ambapo …
Beach Soccer: Tanzania Kuvaana na Misri
*Mkutano Mkuu TFF Machi 14, Ajenda Zatajwa TIMU ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni (Beach Soccer) inatarajiwa kucheza na timu ya Taifa ya Misri siku ya ijumaa majira ya saa 10 kamili jioni, mchezo utakofanyika katika klabu ya Escape 1 Msasani jijini Dar es salaam. Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinaendelea na mazoezi kujiandaa na …
Wanasiasa Tanzania Wahusishwa na Mauaji ya Albino!
Katika makala iliyopewa jina la “Love in a Time of Fear: Albino Women’s Stories From Tanzania”, iliyorushwa kwenye gazeti la intaneti la Huffington Post (tarehe 25/10/2013 na kuhuwishwa tena tarehe 23/01/2014) kutoka Marekani, ililbaini kwamba wanasiasa wa Tanzania wanahusishwa na mauaji ya albino, na kipindi cha uchaguzi ndio kipindi hatari kwa maisha ya albino nchini. Kuhusishwa huko kwa wanasiasa wa Tanzania, …
Mauaji Haya ya Albino Mpaka Lini?
Na Evarist Chahali 25/2/2015 “Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.” Huu ni ubeti wa wimbo maarufu ambao ‘zamani hizo’ tulipouimba tulijisikia ‘raha’ flani kuhusu nchi yetu. Tulikuwa na kila sababu za kuipenda Tanzania kiasi …