TANZANIA’S Tanzania’s number one online marketplace, Kaymu, is set to launch its free delivery campaign, where anyone can buy from a selected wide range of products like fashion items, electronics and other affordable accessories and get them delivered for free all over Tanzania. In their partnership with Tigo, any person who places an order on the website and pre-pays through …
Tanzania Yapiga ‘Mkwala’ Wawekezaji Utoroshaji Madini
SERIKALI imewataka wachimbaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini, kuacha tabia ya Utoroshaji wa madini hayo nje ya nchi huku, ikiagizwa kuachwa kuuzwa madini ghafi. Katika kudhibiti biashara hiyo, serikali kwa kushirikiana na kituo cha mikutano cha Arusha(AICC) inakusudia kuanzisha kituo cha kisasa cha kimataifa cha ukataji wa madini hayo na kuuzwa nje. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene alitoa wito huo, wakati akifungua maonesho …
Mtandao Hedhi Salama Watoa Mafunzo ya Hedhi kwa Wanafunzi
Mratibu wa Mradi wa Afya wa Help Kids Edith Peter Mziray akiwasihi wanafunzi kuwa wasikivu wakati wa semina ya Hedhi salama Mwanafunzi wa Darasa la Tano Anitha Norbart (12) akiuliza swali kama ni sahihi kutumia mdalasini wakati akiwa katika siku zake? Daktari Edna Kiogwe akitoa elimu juu ya umuhimu wa kujitambua wakati wakiwa katika Hedhi na njia mbadala za kujiweka sawa …
Licha ya Changamoto Tanzania Itasonga Mbele – Waziri Nyalandu
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema pamoja na mitihani mikubwa ambayo taifa inakabiliana nayo, umoja wa Watanzania utaifanya nchi isonge mbele kama taifa linalozingatia sheria na demokrasia. Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili ya Pili ya Pasaka iliyofanyika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mjini Kati jana, Nyalandu alisema nchi itafanikiwa kupita mitihani hiyo kama wananchi wataimarisha umoja kati yao. “Nchi …
Top Five Places in Tanzania to Spend
Lamudi looks at ideal locations in Tanzania for quick long weekend getaways WHEN public holidays come around, it is always nice to get away for a long weekend and take a break from busy city life. Luckily enough, Tanzania is a beautiful country that offers many great getaway locations to relax and unwind. Lamudi Tanzania puts together a helpful guide …
How the Cyber Crime Law Will Affect E-commerce in Tanzania
THE recently introduced Cybercrime Act bill of 2015 by the parliament of Tanzania promises to provide security to all citizens from any sort of cyber-attack that may come their way as they are surfing on the internet. For a developing country like Tanzania this is a big step in trying to make sure justice is served and that all those …