STATEMENT BY DR. SERVACIUS B. LIKWELILE, PERMANENT SECRETARY, MINISTRY OF FINANCE ON THE OCCASION OF SIGNING A LOAN AGREEMENT BETWEEN THE GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK, HELD IN ABIDJAN IVORY COAST ON 27TH MAY, 2015. Vice President African Development Bank, Regional Director East Africa Resource Centre Representatives of ED’s Office Government Delegation officials …
Vilabu Ligi Kuu Vyatakiwa Kuomba Ushiriki Msimu Mpya
MEI 24, 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume. Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi yafuatayo: CLUB LICENCING (Leseni za vilabu) Kamati ya Utendaji imeiagiza sekretarieti ivisisitize vilabu vya Ligi Kuu umuhimu wa kukamilisha maombi yao ya ushiriki wa ligi kuu …
Kipindupindu Chawatesa Wakimbizi wa Burundi Tanzania
UMOJA wa mataifa unasema kuwa zaidi ya visa 400 vya ugonja wa kipindupindu vinaripotiwa kila siku miongoni mwa wakimbizi wa Burundi walio nchini Tanzania. Maelfu ya watu wamewasili kwa mashua wakikimbia ghasia za kisiasa nchini Burundi Wamechukua hifadhi katika sehemu zenye misongamano na zilizo na mazingira mabaya. Umoja wa mataifa unasema kuwa takriban watu 3000 wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu na …
‘Festula Yawatesa Akinamama 3,000 Tanzania Kila Mwaka’
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam ZAIDI ya akinamama 3,000 nchini Tanzania huugua ugonjwa wa fistula mara baada ya kujifungua kila mwaka, huku sababu kubwa ya kupatwa na ugonjwa huo ikiwa ni huduma duni za afya ya uzazi hasa zile huduma za dharura kwa wajawazito wanapokuwa wakijifungua. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwakilishi wa Shirika la …
Mkutano wa Amani, Umoja na Utulivu Tanzania…!
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na utulivu wa nchi yetu. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam asubuhi. Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye mkutano huo. Viongozi mbalimbali wakiwa …