RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali yake imejipanga kukabiliana na Ugonjwa wa Ebola na hivyo kuwataka Watanzania wasiwe ma hofu na kuendelea kufanya shughuli zao. Rais Kikwete aliyasema hayo jana mjini Dodoma alipokuwa akiwahutubia wazee wa mkoa huo ikiwa ni utaratibu wake wa kulihutubia taifa kila mwezi. “…Tumejipanga vizuri kuzuia ugonjwa huu (Ebola) usiingie Tanzania. …
Uainishaji Mipaka Kimataifa Burundi na Tanzania Hauwagawi wakazi
Na Aron Msigwa – MAELEZO, Kagera MARAIS wa Tanzania na Burundi wamewatoa hofu wakazi wa maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Burundi kuwa zoezi la Uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya nchi hizo linalofanywa na wataalam wa upimaji na ramani katika maeneo ya mipaka ya nchi hizo halilengi kuleta mgawanyiko miongoni mwao bali kuweka utaratibu mzuri wa utambuzi wa alama za …
Tanzania Kuiboresha Bandari ya Dar Kuwa ya Kisasa
Na James Gashumba, EANA Arusha SERIKALI ya Tanzania imetangaza mipango mipya itakayorahisisha upakuaji wa mazigo katika bandari ya Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Dk. Harison Mwakyembe alisema mipango iko mbioni ya kukarabati maeneo ya kupakulia mizigo kutoka moja hadi saba na kujenga maeneo mengine mapya manne ya aina hiyo ili kurahisisha upakuajia wa mizigo. Alikuwa anazungumza katika Mkutano …
Tanzania Loses U.S.$512 Million Due to Bad Managers
Dodoma — Due to poor management, the government has lost more than Tsh 843 billion (about $525 million) according to the 2013/2014 report of the Controller and Auditors General (CAG). The report was tabled last week in the parliament and covers the year ending June 30 2013. According to the report, the leading ways money has been lost include embezzlement …
Pilikapilika za Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 50 ya Muungano
Ujumbe mathubutu kwenye vitenge maalum walivyotengenezwa kwa ajili ya sherehe hizi za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama zilivyonaswa leo na Mpiga picha wetu maalum. Uwanja wa taifa Watu wakiwa wanaelekea Uwanja wa Taifa kujumuika kwenye sherehe hizo. Msongamano mwengine Your browser does not support the video tag Video ya wananchi wakielekea Uwanja wa Taifa kujumuika na …