TANZANIA iko tayari kushirikiana na wanachama wote wa Umoja wa Mataifa (UN) kufikia makubaliano ya Malengo ya Maendeleo mapya baada ya Malengo ya Milenia (MDGs) ya sasa kufikia mwisho wake ifikapo mwaka 2015. Rais Kikwete amesema hayo wakati akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) jana tarehe 25 Septemba, 2014 jijini New York, Marekani. Agenda ya kikao cha Baraza …
Rais Kikwete ‘Ajivunia’ Uhuru wa Habari Tanzania Mkutanoni
Na Mwandishi Maalum, New York TANZANIA inatarajiwa kupata sheria ya Uhuru wa kupata Habari ifikapo Mwezi Februari, Mwaka 2015. Rais Jakaya Kikwete amesema hayo Septemba 24, 2014 jijini New York alipokuwa mmoja wa wazungumzaji katika mkutano unaohusu Uwazi na ushirikiano kati ya serikali na jamii (Open Government Partnership-OGP). Rais Kikwete amesema, rasimu ya muswaada wa Uhuru wa kupata Habari uko …
Etihad Airways Kuongeza Safari Nchini Tanzania
SHIRIKA la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam. Shirika la ndege la Etihad Airways, ambali shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzinfua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa …
Hatuna Tofauti ya Mpaka Kati ya Tanzania na Malawi – Waziri Malawi
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Patrick Tsere Akizungumza na waandishi wa Habari kutoka Mbeya walipotembelea Ofisi za ubalozi Nchini Malawi. Baadhi ya Waandishi wakimsikiliza Balozi. Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Patrick Tsere akijibu Taarifa ya waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya . Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Habari, Utalii na …
Takwimu Zabaini Asilimia 27 ya Watoto Tanzamia Wanatumikishwa
Na Anna Nkinda – Maelezo TAKWIMU zinaonesha kuwa idadi ya watoto wanaotumikishwa Duniani inafikia milioni 169 kati ya hao wapo wenye umri wa miaka mitano, wanaotoka katika familia maskini ambao hulazimika kufanya kazi ili waweze kuishi na hivyo kukoa fursa ya upata elimu na malezi bora. Kwa upande wa Tanzania asilimia 27.5 ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 17 …
JWTZ Imechangia Kwa Kiasi Kikubwa Amani ya Tanzania-JK
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete, amelisifia Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kutaja mafanikio yake makuu katika miaka 50 ya uhai wake, akisisitiza kuwa ni Jeshi imara na bora linaongozwa na misingi ya uzalendo, utii na nidhamu ya hali ya juu. Rais pia amesema kuwa kwa amani, utulivu na usalama …