Tanzania Yatuma Rambirambi Kifo cha Rais Zambia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameshtushwa na kusononeshwa sana na taarifa za kifo cha Rais wa Jamhuri ya Zambia, Michael Chilufya Sata ambacho kimetokea jana, Jumanne, Oktoba 28, 2014 kwenye Hospitali ya King Edward VII, London, Uingereza, ambako alikuwa anatibiwa akiwa na umri wa miaka 77. Katika salamu ambazo amempelekea Makamu wa Rais wa Zambia, Mheshimiwa …

Tanzania Yakubali Kuwa Mlango wa Vietnam Kibiashara EAC

‘Garment 10 Corporation textile Mill’ lilichopo Wilayani  Gia Lam nchini Vietnam juzi. TANZANIA imekubali ombi la Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam kuwa mlango wa kuingiza bidhaa za nchi hizo hasa za mashine na vyakula katika soko la nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo kwa sasa uwezo wa nchi hizo kutengeneza mashine siyo mkubwa sana. Aidha, Tanzania imesema kuwa …

Tanzania Yapinga Rasmi Kutambua Ndoa za Mashoga

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Wanawake, Anna Collins akitoa hotuba yake wakati akifungua warsha ya siku moja kuhusu Malengo ya Milenia kwa washiriki mbalimbali na kwa kiasi ngani Tanzania imeweza kufikia malengo hayo.iliofanyika Makao Makuu ya Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF) Oktoba 27, 2014 jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania …

Tanzania Kuomba Mkopo Poland Ujenzi wa Maghala

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kupata mkopo wenye masharti nafuu kutoka Serikali ya Poland utakaoliongezea Taifa uwezo wa kuhifadhi chakula tofauti na hali ilivyo sasa. Alisema uzalishaji mwaka huu umetoa ziada ya tani milioni 1.5 za nafaka na tani 800,000 za mpunga ikilinganishwa na ziada ya tani 300,000 iliyokuwepo mwaka jana. “Serikali inakabiliwa na …

Tanzania Yaomba Msaada wa Madaktari Kutoka China

*Yashukuru ujenzi hospitali ya magonjwa ya moyo TANZANIA imeiomba Jamhuri ya Watu wa China kuongeza idadi ya madaktari wake inaowatuma Tanzania kama msaada kutoa huduma ya tiba kama njia ya kuzidi kusaidia kukabiliana na upungufu wa madaktari nchini. Aidha, Tanzania imeishukuru China kwa kujenga hospitali kubwa inayoweza kulaza wagonjwa 100 kwa wakati mmoja wa magonjwa ya moyo na yenye uwezo …