VYOMBO kadhaa vya habari vimeripoti kuhusu hali ya mgongano kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na Bodi ya ligi Tanzania (Tanzania Premier league Board). Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania linapenda kutoa ufafanuzi ufuatao: 1.Bodi ya ligi imeundwa kwa mujibu wa Katiba ya TFF kifungu 40(11). Hivyo Bodi ya ligi ni zao la Mkutano Mkuu wa TFF. 2.Katiba …