TANGO Kuelimisha Umma Juu ya Malengo 17

Meneja wa sera na ushirikishaji wa TANGO, Zaa Twalangeti, akizungumza na mwandishi wa habari hizi katika mahojiano maalum yaliyofanyika ofisi za TANGO jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa kitaifa wa Mtandao wa Asasi zisizo za kiserikali za haki za binadamu kusini mwa Afrika(SAHRINGON), Bi. Martina Kabisama. Na Mwandishi Wetu ASASI isiyokuwa ya kiserikali ya TANGO imezindua kampeni kubwa …