TANESCO Yafafanua Madai Wakazi wa Kijiji cha Seseko Shinyanga

Na Benedict Liwenga-MAELEZO SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) limetolea ufafanuzi kuhusu malalamiko ya Wakazi wa kijiji cha Seseko Kata ya Mwamalili mkoani Shinyanga. Ufafanuzi huo umetolewa jijini Dar es Salaam na Ofisa Uhusiano wa Shirika hilo, Bw. Lusajo Mwakabuku wakati akiongea na Idara ya Habari mara baada ya kuhojiwa kuhusu madai ya wakazi wa kijiji hicho kuhusu kufyekwa …

Serikali Yaendelea Kuibana Tanesco…!

Na Ally Daud, Maelezo SERIKALI imeliagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kukamilisha mradi wa kukuza miundo mbinu ya kusafirisha umeme unaosimamiwa na Kampuni ya kutengeneza vipozeo (Transformer) ya Italy (SAE) ili kusaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Agizo hilo limetolewa jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kaleman katika ziara yake ya kutembelea mradi …

TANESCO Yatoa Tahadhari Waharibifu Vyanzo vya Maji

Na Jovina Bujulu – Maelezo MABADILIKO ya Tabia Nchi, uharibifu wa vyanzo vya maji katika mito mbalimbali na uchepushaji wa maji kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji ni chanzo cha kukauka kwa mabwawa ya maji yanayotumika katika kuzalisha umeme. Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud alipokuwa akizungumzia …

Wafanyakazi Helios, Tanesco Wafanya Warsha

  Eranus Thompson, Mkuu wa uendeshaji wa Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani kutoka Kampuni ya Helios Tower Tanzania akizungumza jinsi Helios Tower wanavyoweza kusambaza umeme unaozalishwa na Tanesco wakati wa warsha ya siku moja na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.  Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji …

Wananchi Mwanagati, Kitunda Wailalamikia TANESCO

WANANCHI wa Mwanagati – Kitunda jijini Dar es Salaam na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo, bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao. “…Hatuna umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa,” alilalama mmoja wa wakazi wa eneo …