Tanapa Watoa Semina kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa, Ndugu Allan Kijazi akizungumza jambo,wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Wahariri wa Habari Tanzania,mapema asubuhi jijini Mwanza. Ndugu Kijazi alisema kuwa Utalii ni sekta mtambuka na inachochea ukuaji wa sekta nyingine ikiwa ni pamoja na kilimo, usafirishaji wa anga na barabara, huduma za fedha, huduma za chakula na malazi kudorora kwa sekta nyinginezo.  “Hivyo kudorora kwa …

TANAPA Waanzisha Mradi Kupunguza Mimba Sekondari

Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA). Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa Tanzania …

Mbunge Chadema Ashiriki Ujenzi Chanzo cha Maji, Tanapa Wajenga Ukumbi Olele,

  Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassar aiwa amepanda kwenye Lori lililokuwalikibeba mawe kwa ajili ya ujenzi wa chanzo kipya cha maji kwa ajili ya kumwagilia katika kijiji cha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo. Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akishirikiana na wananchi katika kijiji cha Karangai kuweka mawe katika chanzo cha maji kwa ajili ya umwagiliaji. Mbunge Joshua …