Na Joachim Mushi, Tanga WAZIRI wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe amewaonya wananchi walio jirani na hifadhi za taifa kuacha mara moja kitendo cha kuchanganya mifungo na wanyamapori kwani kitendo hicho ni hatari kubwa kwa afya za wananchi na mifugo yao. Alisema wanyamapori wana magonjwa mbalimbali na hatari kwa afya zetu hivyo kitendo cha …
TANAPA Yaisaidia Timu ya Riadha ya Taifa Kushiriki Olimpiki
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho kwa wanahabari na wageni wengine katika hafla fupi ya kukabidhi hundi kwa wanariadha wanaounda timu ya taifa, inayojiandaa na mashindano ya Olimpiki yatakayoafanyika mwezi AgostiĀ nchini Brazil. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi, akizungumza wakati wa hafla fupi ya …
Boss TANAPA na Mchungaji TAG ‘Mbaroni’ Kukutwa na Jino la Tembo
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) linamshikilia Mhifadhi Mwandamizi wa shirika hilo baada ya kuhusishwa na tukio la mchungaji kukamatwa na jino la tembo alilokuwa akilinadi kutafuta mteja. Kwa mujibu wa taarifa ya TANAPA kwa vyombo vya habari, bosi anayeshikiliwa ni Genes Shayo baada ya mchungaji, wa Kanisa la TAG, Emmanuel Nassari (46) Wilaya ya Arumeru kukamatwa …
- Page 1 of 2
- 1
- 2