Maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika: Viongozi wa Dini Wakemea Ukatili

      VIONGOZI wa Dini wamekemea vitendo vya ukatili kwa watoto na kwani vimekemewa hata katika vitabu vya dini, huku wakimtaka kila mmoja kumlinda mtoto pamoja na kueneza elimu ya malezi. Viongozi hao walioshiriki katika mkutano wa vyombo vya habari ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kutoka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Jumuiya ya …

Demokrasia Hutegemea Uwepo wa Vyombo vya Habari – TAMWA

  IMEELEZWA kuwa vyombo vya habari ni daraja muhimu kwa uwepo wa demokrasia kwenye uchaguzi wowote. Na demokrasia haiwezi kuwepo pasipo vyombo vya habari. Hii ni kwa sababu uchaguzi huru na wa haki siyo tu kuhusisha uhuru wa kupiga kura lakini pia utoaji wa elimu ya jinsi kwa wapiga kura, kuhusu mchakato shirikishi ambapo wapiga kura hushiriki katika mijadala ya …

Utafiti Waweka Bayana Changamoto za Wanawake Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu UTAFITI mdogo uliofanywa katika baadhi ya vyombo vya habari ulibainisha kuwa ni asilimia 11 tu ya wanawake wagombea ndio walipata nafasi ya kuandikwa katika magazeti wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Utafiti umeeleza kuwa kwa upande wa wanaume ni asilimia 88 ya vyanzo vya habari, huku katika habari zinazohusiana na uchaguzi, imeonekana wanawake bado waliendelea kubaki …