TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, DAR ES SALAAM, ALHAMISI, 31 JULAI 2014 SAA 5.00 ASUBUHI. Ndugu waandishi wa habari, Kama mnavyofahamu Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) wanaotetea kuheshimiwa kwa maoni ya Wananchi katika mchakato wa kuandika Katiba maarufu kwa jina la UKAWA – Umoja wa Katiba ya Wananchi walitoka nje ya Bunge hilo tarehe 16 April 2014. Sababu ya …