TAMISEMI Yataka Serikali za Mitaa Kupima Mipaka ya Asili

  Na Eliphace Marwa – Maelezo WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, George Simbachawene amewaagiza Wakurugenzi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa waanzishe zoezi la kubainisha mipaka ya asili ya maeneo yote na kuyapima na kuhakikisha yana hati. Akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Simbachawene amesema kuwa kuna tatizo kubwa la uvamizi wa maeneo ya Shule za Msingi, …

UNDP Yataka TAMISEMI Kuwezesha Zaidi Wananchi

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Tanzania Alvaro Rodriguez ametaka serikali kupitia Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuwezeshwa zaidi ili kuweza kuwatumikia wananchi. Aliyasema hayo wakati alipozuru kijiji cha Chasimba mwishoni mwa juma akiwa na Balozi wa …

TAMISEMI Yahimiza Utunzaji Kumbukumbu za Miradi

Na Atley Kuni, Ofisa Habari Mwanza   HALMASHAURI za majiji na manispaa zimehimizwa kutunza na kuhifadhi miradi yote ya maendeleo inayo tekelezwa katika maeneo yao na kuhakikisha inadumu kwa manufaa ya kizazi cha leo na kijacho.   Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zuberi Samataba katika hoteli ya Gold …