Matukio Picha Tamasha la ‘Democracy in Dar’…!

Wananchi waliojitokeza katika tamasha la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Msanii Msagasumu akimwaga sumu kwa wakazi wa Mbagala na Vitongoji vyake waliojitokeza katika tamasha la …

Waziri Membe Mgeni Rasmi Tamasha la Qaswida Dar

Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernald Membe. Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia …

Tamasha la Karibu International Music Festival…!

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.   Dotto Mwaibale   TAMASHA la Music Festival linatarajiwa kufanyika Novemba 6 hadi 8 mwaka huu, Bagamoyo mkoani Pwani katika viwanja vya Mwanakalenge.  Akizungumza Dar es Salaam leo Meneja wa Tamasha hilo Richard Lupia alisema lengo ni  kukazia katika kurasimisha tasnia ya muziki kuwa na umakini zaidi na kukuza uchumi wa eneo husika la bagamoyo ambalo …

Msama Promosheni Yapeleka Tamasha la Chrismas Songea

Mwimbaji wa Muziki wa injili Upendo Nkone akiimba mbele ya mashabiki wa muziki huo kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo tamasha kubwa la Krismas limefanyika na kushirikisha waimbaji mbalimbali kutoka nchini na nje ya Tanzania, onesha la leo lilikuwa ni hitimisho la matamasha ya Krismas yaliyofanyika katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Ruvuma yakishirikisha waimbaji kama Upendo Nkone, Faraja …