Matukio Tamasha la Castle Lite Unlocks, Leaders

Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.   Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.   Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo.   .Msanii toka Afrika kusini Casper Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa  la …

Wasanii wa Nyimbo za Injili Watia Fora Tamasha la Pasaka

  Waibaji wa kwaya ya Sauti ya Mungu kutoka Kanisa la Siloam, Mbezi, Makonde jijini Dar es Salaam, wakiimba na kucheza wimbo unaoitwa Mungu uliyetuumba wote, vizazi vyote katika Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha zote na Kassim Mbarouk.   Vijana wa Kwaya ya KKKT Mwananyamala, wakiimba na kucheza …

Tamasha la 14 la Sauti za Busara 2017 Kutoka ‘Kivingine’

    WAKATI Tamasha la 14 la Sauti za Busara limebakiza siku chache kufanyika pale Mji Mkongwe, Zanzibar 9-12/Februari kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa tamasha la Sauti za Busara lenye kauli mbiu ya ‘AfricaUnited’ mwaka huu tamasha litakua na majukwaa matatu yatakayotumiwa na wasanii wote kimataifa/nyumbani. Watu mbali mbali wenye rangi tofauti, umri tofauti kwa mara nyingine tena …

Tamasha Kubwa la Kusifu na Kuabudu Kufanyika Mwanza

Jumapili Oktoba 09, 2016 katika Kanisa la “EAGT Lumala Mpya International Church” Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, linatarajiwa kufanyika tamasha kubwa la Kusifu na Kuabudu. Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola, amewahisi watu wote kufika kwenye tamasha hilo kwani kwenye kusifu na kuabudu, ana uhakika wa kuisikia sauti ya Mungu na huwa huru na kujitenga na dhambi …

Tamasha la Msafara Lawajengea Uwezo Vijana Kutimiza Ndoto…!

 Baadhi ya vijana wakiwa wanaendelea kufanya usafi maeneo ya Uwanja wa Taifa wa Ifakara eneo ambapo Tamasha hilo la Msafara lilifanyika.  Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombero Bw. Yahya Naniya (aliyevaa miwani) akiwa katika ushiriki wa kufanya usafi kaika uwanja wa Taifa wa Ifakara  Mwenyekiti wa Maandalizi wa Msafara kutoka TYDC James Isdore akielezea maana ya msafara kwa wakazi wa …

Waafrika Wakutana Ujerumani Kuchangia na Kuombea Amani Senegali

Tokea mwaka 1982, serikali ya Senegali imekuwa ikipambana na Kundi la Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC), ambalo linapigania haki ya eneo la Casamance kujitenga, baada ya serikali kuu kushindwa kuzisimamia rasilimali za eneo hilo kwa usawa. Hizi ni harakati ambazo zimeshapoteza maisha ya Wasenegali wengi, na kwa bahati nzuri makubaliano ya kusitisha mapigano (Unilateral Ceasefire) yalifikiwa Mei 1, …