Mfumuko wa Bei Mwezi Agosti Wapungua kwa Asilimia 4.9

  Mkutano na wanahabari ukiendelea.   Na Dotto Mwaibale   OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imesema Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa kipindi cha mwezi Agosti Umepungua kwa asilimia 4.9 kutoka asilimia 5.1 katika kipindi cha mwezi Julai 2016. Hiyo inamanisha kuwa kasi ya upandaji wa bei za bidhaa  kwa mwaka ulioisha mwezi Agosti, 2016 imepunguwa ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo …

Serikali Yazuia Matumizi Mabaya ya Vyandarua Nchini

Na Ally Daud – Maelezo SERIKALI imetoa wito kwa wananchi kuacha matumizi mabaya ya vyandarua ili kusaidia jitihada za Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Malaria nchini. Akizungumza Jijini Dar es salaam katika Uzinduzi wa Utafiti wa Matokeo ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Malaria wa Mwaka 2015/16, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee …

Takwimu Waanza Kusambaza Matokeo ya Sensa Mpya ya 2012

Na VERONICA KAZIMOTO, Dodoma OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) mkoani Dodoma imeendesha semina ya usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2012 kwa viongozi na watendaji wa ngazi mbalimbali wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uelewa viongozi hao waweze kuyatumia matokeo ya Sensa hiyo kupanga mipango ya maendeleo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa Semina hiyo …

Watafiti, Wataalamu Wapewa Wito Matumizi ya Takwimu

Na Aron Msigwa, Dar es Salaam SERIKALI imetoa wito kwa watafiti na wataalam kutoka vyuo vikuu, taasisi za elimu na mashirika binafsi kushiriki kikamilifu kuhamasisha jamii kutumia takwimu sahihi zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ili kuwezesha upangaji wa mipango endelevu ya maendeleo inayoendana na hali halisi ya maeneo husika. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa …

Maofisa Magereza Wanolewa Kuhusu Takwimu

  Na Veronica Kazimoto, Morogoro WITO umetolewa kwa Maafisa wa Ngazi za Juu wa Jeshi la Magereza kutoka vitengo mbalimbali vya Makao Makuu ya Jeshi hilo kuwahimiza maofisa waliopo chini yao kutumia takwimu mbalimbali zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ili zisaidie katika kuandaa mipango na kutoa maamuzi mbalimbali ya kazi zinazofanywa na jeshi hilo.   Wito huo umetolewa …

Mfumuko wa Bei Desemba ni Asilimia 4.8

Na Aron Msigwa – MAELEZO. MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Desemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8 iliyokuwepo mwezi Novemba kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini. Akitoa taarifa ya Mfumuko wa Bei wa Taifa leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi …