TAKUKURU Yamkingia Kifua Mkurugenzi Manispaa ya Tabora

   Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana.     Jaji Msumi (katikati), akiwa na wenzake akisikiliza shauri hilo. Na Dotto Mwaibale KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Mkuranga, Damas Pasalau, amemkingia kifua aliyekuwa Mkurugenzi wa Halamashauri ya Manispaa ya Mkuranga Sipora Liana kwa tuhuma zinazomkabili katika Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma.  …