Kinondoni Kujenga Kiwanda cha Taka…!

MANISPAA ya Kinondoni imesaini mkataba wa kiushirikiano na Jiji la Humburg mkataba utakaowezesha kujengwa kwa mtambo wa kuchakata taka za ugani na kuzalishwa mbolea eneo la Mabwepande wenye thamani ya shilingi za Kitanzania bilioni 3.5 fedha ambazo zote zitatolewa na jiji la Humburg. Mkataba huo ambao utapunguza kiasi kikubwa kero ya taka katika manispaa ya Kinondoni umesainiwa leo na Mstahiki …