Taarifa za ‘Panya Road’ Zazua Taharuki Dar, Shughuli Zasimama

TAARIFA za uvamizi wa kundi la wahalifu maarufu kama ‘Panya Road’ jijini Dar es Salaam zimezua taharuki kubwa na kusababisha wakazi wa wa jiji sehemu kubwa kufunga shughuli zao na kukimbilia majumbani kuhofia kuporwa na wahalifu hao. Wananchi maeneo ya Mwananyamala, Kinondoni, Ubungo, Sinza, Buguruni, Tabata, Temeke na maeneo mengine ya jiji walilazimika kufunga maduka, baa na sehemu zingine za …