Tanzania Mwenyeji Mkutano Mkuu Taasisi za Kodi Afrika

Na Frank Mvungi – Maelezo MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wakati wa mkutano Mkuu wa Taasisi za Kodi Afrika (Africa Tax Admistration forum-ATAF) utakaowahusisha wataalamu wa masuala ya Kodi kutoka Sehemu mbalimbali Duniani. Mkutano huo unatarajiwakufanyika kuanzia septemba 16mwaka huu katika Hotel ya Double Tree jijini Dar es salaam. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar …