Taarifa za ‘Panya Road’ Zazua Taharuki Dar, Shughuli Zasimama

TAARIFA za uvamizi wa kundi la wahalifu maarufu kama ‘Panya Road’ jijini Dar es Salaam zimezua taharuki kubwa na kusababisha wakazi wa wa jiji sehemu kubwa kufunga shughuli zao na kukimbilia majumbani kuhofia kuporwa na wahalifu hao. Wananchi maeneo ya Mwananyamala, Kinondoni, Ubungo, Sinza, Buguruni, Tabata, Temeke na maeneo mengine ya jiji walilazimika kufunga maduka, baa na sehemu zingine za …

Wadau Wajadili Mkakati wa Taarifa sahihi za Ebola

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wakati wa kongamano lililoandaliwa na UNESCO, WHO, UNICEF, Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Novemba 11,2014 …

BOT Kuimarisha Mfumo wa Utoaji Taarifa za Uchumi na Fedha

Frank Mvungi- Maelezo, Bagamoyo SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi ili kuongeza wigo wa wananchi kushiriki katika kukuza uchumi na kuleta maendeleo endelevu. Hayo yamesemwa leo mjini Bagamoyo na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Juma Reli wakati akifungua Semina kwa waandishi wa habari za Uchumi na Fedha …