Sumaye Ang’oka CCM, Ajiunga na UKAWA

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.  Sumaye akisisitiza jambo Sumaye (wa tatu kulia), akiwa na viongozi wanaunda Umoja wa Katiba …

CCM Kuwachunguza Lowassa, Sumaye, Membe na Wassira

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepanga kufanya tathmini kwa wanachama wake ambao iliwaadhibu kwa kile kuonesha utovu wa nidhamu kwa wao kuanza kampeni za kugombea urais ndani ya chama hicho mapema kabla ya muda kutangazwa. Mapema Februari 2014, CCM iliwaadhibu waliokuwa mawaziri wakuu, Edward Lowassa na Fredrick Sumaye, mawaziri Benard Membe, Stephen Wassira na Naibu Waziri, January Makamba …