Profesa Mbarawa Abisha Hodi SUMATRA, Aitaka Kupambana…!

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA), kudhibiti wasafirishaji wasio waaminifu, wanaobadilisha ruti za safari na kuongeza nauli nyakati za asubuhi na jioni nchini. Akizungumza na wafanyakazi wa SUMATRA amewataka kutengeneza mkakati utakaoboresha huduma za usafiri na kupunguza ajali za barabarani nchini kote. “Sumatra mna mchango mkubwa wa …