Washiriki 10 Bora wa TMT Watinga Studio za TIMES FM

Waendeshaji wa Kipindi cha Filamu Monata kinachorushwa na Kituo cha Redio cha TIMES FM 100.5 wakiendelea na majukumu katika studio za kituo hiko cha Redio Kilichopo Kawe Jijini Dar Es Salaam wakati wa Kipindi cha Filamu Monata leo wakati washiriki 10 Bora wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) walipotembelea Studio hizo. Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) …