StarTimes Wachezesha Droo ya Kwanza Kumtafuta Mshindi

 Mtangazaji wa luninga na redio wa Clouds Media, Bw. Shaffih Dauda (katikati), ambaye pia ni balozi wa kampuni ya StarTimes Tanzania kwa upande wa chaneli na vipindi vya michezo, akichezesha droo ya kwanza ya bahati nasibu ya kumpata mshindi wa safari ya kujishindia tiketi kutazama Ligi ya Bundesliga ‘Live’ Ujerumani iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki katika ofisi za kampuni hiyo jijini …

StarTimes Yasaidia Watoto Shule ya Walemavu wa Akili Airwing

Kutoka kulia ni wafanyakazi wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi. Elena Liu na Paulina Kaka wakifurahia jambo pamoja na Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Airwing, Kitengo cha wanafunzi wenye ulemavu wa akili, Bw. Issa Mkasa wakati wa kukabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mengineyo shuleni hapo. Akishuhudia tukio hilo kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Bi. Fabiola Malisa. …

Startimes Kuonesha Michuano Kombe la Dunia Chini ya Miaka 20

Na Dotto Mwaibale WAPENZI  wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama Michuano ya Kombe la Dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee. Michuano hiyo ambayo itaanza kutimua vumbi tarehe 30 mwezi Mei na kumalizika tarehe  20 mwezi Juni  mwaka huu moja kwa moja kutoka nchini New Zealand ambapo timu 24 za vijana kutoka mataifa mbalimbali …

StarTimes Waibuka na Kifurushi cha Bei Raisi ‘Nyota’

  Baadhi ya wateja wakiangalia chaneli mbalimbali zinazorushwa na StarTimes kupitia vifurushi vyao mbalimbali.   KAMPUNI ya StarTimes Tanzania ambayo inatoa huduma bora na nafuu za matangazo ya digitali imezidi kupanua huduma zake baada ya kuja na kifurushi kipya na bei mpya ya king’amuzi kwa sh. 4000/- tu gharama ambayo ni ya chini kabisa kutowahi kutokea nchini.     Akizungumza katika …