Stadi za Maisha Kikwazo cha Wasichana Wengi Masomoni

Na Anna Nkinda – Maelezo KUTOFAHAMU stadi za maisha kumewafanya watoto wengi wa kike kushindwa kumaliza masomo yao kwa kijiingiza katika vishawishi mbalimbali na hivyo kutotimiza ndoto zao za maisha. Hayo yamesemwa jana na Anita Masaki ambaye ni Afisa Mradi wa TUSEME kutoka Ulingo wa Wanawake waelimishaji wa Afrika (FAWE) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uwezeshaji wa jinsia kwa wanafunzi wa kike wa …