Breaking Newz; Job Ndugai Achaguliwa Spika wa Bunge

JOB Yustino Ndugai ameteuliwa kuwa Spika wa Bunge la 11. Ndugai ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameshinda nafasi hiyo baada ya kuwashinda wagombea wenzake saba kutoka vyama mbalimbal. Akitangaza matokeo hayo mchana huu, Katibu wa Bunge, Dk. Joseph Kashililah alisema Ndugai ameshinda baada ya kupata kura 254 kati ya kura 359 …