Spika Makinda Avutiwa na Miradi ya NSSF Dar

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa miradi mikubwa mbalimbali linayoendelea kuwekeza nchini ambayo imekuwa chachu ya maendeleo na kukuza hadhi ya nchini. Spika Makinda ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akitembelea baadhi ya miradi mikubwa ya NSSF iliyopo jijini Dar es Salaam, ukiwemo mradi …