Rais Magufuli Aanzisha Mkoa Mpya wa Songwe…!

Na Raymond Mushumbusi-Maelezo RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli ameidhinisha kuanzishwa kwa Mkoa mpya wa Songwe na wilaya nyingine mpya nchini. Akitoa tamko hilo kwa niaba ya Rais Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene amesema kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …