Tanzania Yashiriki Maridhiano Soko la Pamoja

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal Juni 10, 2015 amemuwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali unaolenga kuweka saini ya makubaliano ya kuwa na soko la pamoja kwa nchi wanachama wa kanda tatu za Afrika yaani Afrika Mashariki, Nchi za Kusini mwa Afrika na Nchi za Afrika …