Mashindano ya Soka kwa Vijana Taifa Kufanyika Mwanza, Makocha 32 Kunolewa

  MASHINDANO ya Taifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 12 yatafanyika Desemba mwaka huu jijini Mwanza. Akizungumza wakati wa kutangaza mpango wa programu ya vijana inayolenga Fainali za Afrika za U17 mwaka 2019 ambapo Tanzania imeomba kuwa mwenyeji, Rais wa TFF, Jamal Malinzi alisema mashindano hayo yatashirikisha kombaini za mikoa yote.   Mashindano hayo yatafanyika kuanzia Desemba 6 …