Sitta Avitaka Vyombo vya Habari Kuacha Uchochezi

Na Benedict Liwenga, Maelezo – Dodoma MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amevitaka vyombo vya habari nchini kuacha uchochezi na chuki wakati vinapohabarisha umma kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya. Kauli hiyo nimetolewa na Sitta wakati alipokutana na baadhi ya waandishi wa habari katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma huku akiviasa vyombo vya habari kuachana na kuandika habari …