Lowassa Atoboa Siri ya Richmond, Adai ni Maagizo ya Mamlaka ya Juu

Na Mwandishi Wetu, WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ametua zigo la kashfa ya Richmond iliyosababisha kujiuzulu uwaziri mkuu kwa kueleza jitihada zake alizofanya kabla ya Serikali kuingia mkataba na kampuni hiyo feki iliyoisababishia hasara kubwa nchi. Lowassa ameamua kufunguka hayo jana jijini Dar es Salaam alipoulizwa swali katika mkutano wake na waandishi wa habari kutangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi na …