Mohammed Dewji: Ubunge Singida Sasa Basiiii…!

Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake kama ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena ubunge wa jimboni humo wakati wa mkutano mkubwa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 10 ya kuwatumikia wananchi wa Singida. MBUNGE wa Singida mjini na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji amesema hatagombea ubunge wa …

Mkutano Mkuu TFF Kufanyika Singida, Mfuko wa Maendeleo…!

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepanga Mkutano Mkuu wa Kawaida wa mwaka ufanyike Machi 14 na 15 mwakani mjini Singida.   MGOGORO NDANI YA ZFA Kamati ya Utendaji imepokea kwa masikitiko taarifa za masuala ya mpira wa miguu Zanzibar kupelekwa mahakamani. Kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kitendo hicho …

Tamasha la Fiesta 2014 Mkoani Singida Lafana

 Baadhi ya mwashabiki wa Tamasha la Fiesta 2014 wakishangilia kwa hisia, wakati shoo ikiendelea jukwaani ndani uwanja wa Namfua mjini Singida.  Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kampuni ya No Fake Zone, Lina Sanga ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Oletemba, akiimba jukwaani mbele ya umati wa watu wakati wa tamasha la Fiesta lililofanyika jana katika uwanja …

Semina ya Fursa Mkoani Singida Leo

 Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata Fursa,Jitathimini,Jiamini,Jiongeze wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumza ndani ya moja ya ukumbi wa hoteli ya KBH,ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.Semina ya Fursa 2014 inaandaliwa na Waandaaji wa Tamasha la Fiesta 2014 linalotarajiwa kufanyika leo usiku ndani ya uwanja wa Namfua mjini Singida.  Baadhi ya watoa mada mbalimbali katika semina hiyo wakiwa meza kuu  Baadhi …

Makanisa Singida Yawakemea Wabunge Bunge la Katiba

Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini Singida.Pamoja na mambo mengi, askofu Mafwimbo amewasihi wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kufanya mambo waliyotumwa na Watanzania na si vinginevyo. Na Nathaniel Limu, Singida MAKANISA ya Kipentekoste mkoani Singida, yameungana na …