Prof Mbarawa Afungua Mkutano wa Nne wa Wadau wa Simu

  WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amezungumzia umuhimu wa wananchi wa mjini na vijijini kutumia simu ili waweze kunufaika na huduma mbalimbali za kimtandao zinazotumika hapa nchini. Akizungumza mara baada ya kufungua mkutano wa nne wa kimataifa wa chama cha kampuni za simu duniani GSMA mobile 360, Prof. Mbarawa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha miundombinu ya mawasiliano …

Kampuni ya Samsung Yazinduwa Galaxy Note 4 Afrika

*Maandalizi ya Uzinduzi Tanzania Yaendelea KAPUNI ya Samsung imezindua toleo jipya la simu zake za Galaxy Note 4 Jijini Berlin Nchini Ujerumani Septemba 2014. Toleo hilo la teknolojia ya kisasa katika orodha za simu aina ya Note inazidi kuimarisha kampuni ya Samsung na kuzidi kufanya vizuri katika soko la simu duniani. Siku ya tarehe 17 Octoba, 2014 Kampuni ya Samsung …