Simba Sports Club Yazinduwa Tovuti…!

SIMBA Sports Club leo imezindua tovuti yake Ili kukuza  mawasiliano  na  wadau wake mbalimbali  hususani; wanachama, wapenzi, vyombo  vya  habari na wadau wengine muhimu.  Akizungumza  wakati  wauzinduzi  huo  Rais  wa  Simba Evans Aveva  alisema “Katika dunia na zama  za  utandawazi  tovuti  ndio  na  mitandao   ya   jamii   ndio  njia  kuu ya mawasiliano. Sisi  tuliliona  hili  na  leo  hii …