Serikali Yapiga Marufuku Simba, Yanga Kucheza Uwanja wa Taifa

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezipiga marufuku timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa taifa kwa michezo yake yoyote zinapokuwa zikicheza. Waziri Nape ametoa katazo hilo baada ya mashabiki wa clabu za timu hizo kuvunja viti pamoja na mageti ya kuingilia jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ambapo Simba na Yanga walipambana …

Mpambano Simba na Yanga Waingiza Mil 427/-

MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa Oktoba 18 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000.   Washabiki 49,542 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambapo viingilio vilikuwa sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 20,000 na sh. 30,000. Asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa …